Anniversaire de treize ans de l‘eruption de nyiragongo a goma

Makala Mwanamke Amka yalijihusisha na kugusiya kumbukumbu ya miaka kumi na tatu baada ya mripuko wa volkeno Nyiragongo.Ni kwamba kuna wakaaji wamoja ndani ya kata la Virunga wenyi wanaishi hadi sasa ndani ya nyumba zilizo jengwa kwa muda wakati huwo.Watu tuliwo hojiyana nawo wanahakikisha kuwa katika hali ya umaskini na ndiyo sababu wameshindwa kujenga upya kisha kuunguzwa kwa makao yawo.Wanalaumu kuona serkali ya Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo iliwahaidiya kuwajiya msaada ila hadi sasa hakuna lolote lilofanyika.Haya basi tunakualika kufwata kipindi hiki kwa maelezo kamili. Godelieve Uwimana ndiye anakutangaziya.

Ajouter un commentaire

Abonnement aux Newsletters

Abonnez-vous avec votre adresse E-mail pour être averti des nouveaux articles publiés.

Go to top