Kazi anazo fanya mzwanamke

Goma le 22 janvier 2015 Katika makala Mwanamke amka siku ya leo tunazungumzia kuhusu mwanamke na mazingira.Mwalikwa wetu ni bi Françoise wa shirika Union des Femmes pour la Promotion Sociale UFEPROS inayojihusisha nakutengeza jiko za udongo hapa mjini Goma.Huyu anaeleza kuwa wanamemba wa shirika hilo walikusudiya kujiunga pamoja kwa kutowa mchango wao ilikulinda mazingira wakati walitambuwa kuwa yaliharibiwa vikali.Anahakikisha kuwa kutengeza jiko za udongo zinasaidiya kwa uchumi wa jamaa pia kulinda mazingira.Kwa maelezo kamili tunakualika kufwata kipindi hiki na kwa utangazaji ni Godelieve UWIMANA NTAMUHEZA.

Ajouter un commentaire

Abonnement aux Newsletters

Abonnez-vous avec votre adresse E-mail pour être averti des nouveaux articles publiés.

Go to top