Makala Mwanamke Amka - 11 janvier 2015

Makala Mwanamke Amka, Namba ya kwanza .11 janvier 2015
Kipindi hiki kinazungumziya mada yenye kuambatana na ubakaji unawo tendewa kwa wanawake wamoja wamoja kwenye nafasi yawo ya kazi na wengine manyumbani kwao mjini Goma mji mkuu wa jimbo la Kivu ya Kaskazini.Tulihojiyana na wanawake wawili wahanga wa vitendo hivyo hapa mjini Goma.Hawa walieleza kuchoka na hali hiyi ya ubakaji na ndiyo sababu wanakusudiya kuvunja ukimwa na kuyazungumzia hazarani pia tuliswali sheria ya Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo pamoja na mwana sheria Nelly KYEYA .Kwa maelezo kamili chukuwa muda wako kwa kufwata makala haya yanayokufikiya chini ya utangazaji wa mwandishi wenu Godelieve Uwimana Ntamuheza.

Commentaires

merci

Ajouter un commentaire

Abonnement aux Newsletters

Abonnez-vous avec votre adresse E-mail pour être averti des nouveaux articles publiés.

Go to top