INVITE

Soumis par derick le lun 01/08/2022 - 07:51

Sécu_Masisi

Prezidenti wa shirika la raiya la sekta ya Osso Banyungu afurahiswha na utulivu unaosikika siku hizi sehemu hiyo ya mtaa wa Masisi.Fabrica MUNPFIRWA aeleza kwamba hayo ni matunda ya uhusiyano bora kati ya askari wa jeshi la taifa na raiya.Mwanaharakati huyu wa shirika la raiya asema kua ni tangu mwezi march uliopita ndipo wakaaji wa eneo hilo  si wahanga wa unyanyasi na aina nyingine za ujambazi.Kwake yeye ingekua heriviongozi husika na usalama kudumisha uhusiyano huwo ili amani na usalama uhakikishwa ndani ya sekta ya Osso Banyungu.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.