L’invité du lundi 8 aout 2022.
Mualikwa wa uhariri wa redio yenu siku ya leo ni bwana Georges BEN MUHIMA.Muchambuzi huyu wa swali mabli mbali za michezo hapa mjini Goma achambua kutajwa kwa mukufunzi mupya atakaye ongoza timu la taifa Leopards Seniors A inchini DRC tangu weekend iliyo pita . Kwake yeye ingekua muhimu bwana Sébastien DESABRE apate muda wa kutosha kwa kufwatiliya michuano zenye kufanyika huku na kule kwa kuchagua vizuri wa chezaji wa timu la taifa.
Catégorie
Audio
Ajouter un commentaire