Shirika cellule humanitaire et de protection de l’environnement ya shutumu hali za ki utu, za ki jamii na za ki afya ambamo wana ishi wa hami wa vita wanao patikana pa Kanyabayonga. Tuki aminiana na coordoneta wake, wa hami ha wana misarani, pia hawapate maji safi. Eugeune Bwikalo ana alika shirika za ki utu ku wa jia ki msaada ili wasi kulbwe na magonjwa yanayo sababishwa na utumizi wa maji machafu
Audio
Ajouter un commentaire