Magazine

Soumis par derick le sam 19/11/2022 - 18:03
deplace

SOCIAL_NYIRAGONGO

Wa hami wengi wa vita wanao patikana katika kembi mbalimbali kowani Munigi, wana sema kuto kua na vyoo katika eneo hiyo walipo kimbilia. Hawa wana omba ku jengewa misarani yaku tosha kwani wengi kati yao wana ji saidia katika shamba za kandokando punde wanapo shikwa na haza kubwa ama ndogo. Tuli wa sogelea hii tarehe 19 Novemba, kwa furs aya siku kuu ulimwenguni ya misarani.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.