Magazine

Soumis par derick le sam 23/07/2022 - 18:26

SOCIO-SECURITAIRE_NYIRAGONGO

Shirika la raiya la mtaa wa Nyiragongo lakua lenye kusisimua viongozi wa Jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo kuhusus  umuhimu  wa kudumisha mbinu za kiusalama maeneo za zone neutre kati ya DRC na Rwanda.Prezidenti wake atoa maonyi hayo masaa machache kiisha Rwanda kuachiliya huru  watoto wawili wa Kisheke ambao walipelekwa na jeshi la nchi hiyo .Kwa masemi yake MAMBO KAWAYA,jambo hilo halikukua swali la ukiukwaji wa mipaka ila RDF huenda ilishakiya vijana hawo kuhusiyana na kundi la waasi lenye kuendesha shuguli zake inchini DRC.Mwanaharakati huyu wa shirika la raiya azani kua  jambo hilo si ndogo ila ni tendo la kuzaraulisha nchi inayo jitaja kua na uhuru wake.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.