Tahadhari iliyotolewa alamisi na Ubalozi wa Marekani kuhusu hatari ya shambulio la kigaidi kwenye meli isio julikana yenye kutoka GOMA inaibua matamshi mengi. Wakati shirika la kiraia jimboni yatoa wito kwa vikosi vya usalama kuchukua tahadhari hii kwa uzito, shirika lisilo la faida linalo ihusisha na maswala ya kucgunguza mabaki ya bomu ama vyombo ya vita linaonya wakaaji juu ya hatari ya kuokota na kushika vitu visivyojulikana.
BENI MAMBANGO samedi 9 avril 2022