INVITE

Soumis par derick le jeu 21/07/2022 - 19:22

SANTE_DROIT MALADE MENTAUX

Kuheshimu haki za wale wenye kuteseka kama wagonjwa wa kiakili ni mada iliyo zungumzia katika kikao kilicho kusanya watetezi wa haki za binadamu na viongozi wamoja wa serkali pa Goma.Mwanasaikologia mmoja alierahisisha kikao hicho alifunua kua hesabu za sasa ni za kuhuzunikisha.Elie KAZAMBUA alihakikishiya wahuzuriyaji kwamba  jimbo la Kivu kaskazini ilihorosesha kesi za watu  elfu mbili mia tano wanakumbwa na marazi hayo ijapo kua miaka iliyopita idadi ya watu elfu moja haikufikiwa.Analinganisha hali hiyi  na kupanda kwa kesi za mizozo zenye kuripotiwa humu jimboni.Mtaalamu huyu aalika  wanamemba wa kijamii  kuheshimu haki za wazazi pia marafiki wao wenye kuuguwa na marazi hayo.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.