Invite de ce mercredi 7 septembre 2022 matin.
Wasikilizaji wapendwa karibu kufwata kipindi chenu mualikwa wa uhariri wa redio Pole Fm.Kwa leo tunamupokeya bwana EDGAR KATEMBO MATESO makamu kiongozi wa kwanza wa shirika la raiya ambaye arizika na matokeo ya muradi wa mazungumzo kwa faida ya amani ya Beni ,muradi unaotekelezwa na muungano wa mashirika POLE INSTITUTE na APCDDH mjini BENI.
Audio
Ajouter un commentaire