invité de la rédaction sw du jeudi 22 septembre 2022.
Wasikilizaji wapendwa maulikwa wa Pole Fm siku ya leo ni bwana Jsutin Mwanatabu akiwa muchambuzi huru wa swali za kisiyasa.Huyu anatowa maonyi yake kuhusu mazungumzo aliyo yaitisha raisi wa nchi ya Ufaransa kwa niaba yake prezidenti wa DRC Félix TSHISEKEDI na mwenzake raisi wa Rwanda Paul KAGAME .Kwake yeye,hakuna kitu cha muhimu kitakacho ngojelewa kwa kikao hicho.
Audio
Ajouter un commentaire