Mualikwa wetu siku ya leo ni bwana DELIKO MBAMBU. Kiongozi huyu wa shirika CIDHOPPE jimboni Kivu kaskazini akua mwenye kuchambua hali ya usalama kwa namna ya hofu kulinagana na njama zinazo endeshwa na kundi za wapiganaji siku hizi mtaani Lubero.DELIKO MBAMBU ajibu kwa swali zake Augustin TSONGO
Catégorie
Audio
Ajouter un commentaire