Karibu kufwata mwalikwa wa chumba cha uhariri cha redio pole FM. Siku ya leo tuna mpokeya Prince KIHANGI, ni mchaguliwa wa mtaa wa WALIKAE. Huyu ana ongeya Siku moja baada ya mapambano yaliyo endashwa pa BRAZA. Haya mapambano yali endeshwa na kikundi MAC. Huyu ana sifiya jitihada askari polisi walio ifanya kwa kuzuwiya waasi hao wasijipenyeze pa NTOTO . Prince KIHANGI ana shutumu usaliti ulio onekana upande wa kikundi chicho kwani walikwisha kusaii munamo buku la makubaliano baada ya kikao cha mazungumuzo kuhusu amani na maendeleo kilichofanyika mwezi mach pa walikale .
Catégorie
Audio
Ajouter un commentaire