invité_lundi_18_04_2022_sw

Soumis par derick le lun 18/04/2022 - 08:06
vicar

Sécu_Goma.

 mwalikwa wetu wa chumba cha uhariri ni Vicar BATUNDI, yeye Kiongozi makamu wa shirika la raiya la mji wa Goma atoa mara tena mwito wake wakuona vyombo vya usalama kuingiza raiya kati ya timu za wapiga doria za usiku.Vicar BATUNDI HANGI asema hivyo kulingana na kupaa munara kwa usalama mudogo ndani ya kata nyingi za mji kumepita majuma machache hivi.Kwa masemi yake hakuna usiku unaopita na hakuna kesi ya wizi unao ripotiwa ndani ya nyumba huku na kule. 

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.