Magazine

Soumis par derick le lun 05/09/2022 - 07:44

Magazine sw du lundi 5 septembre 2022 matin.

Kwa makala yetu vipi huku na kule tutaangaziya swali la visa vya kujimaliziya maisha ndnai ya kata la Kyeshero  hapa mjini Goma. Watu kumi na inne walijimaliziya maisha ndani ya kata Kyeshero tangu mwanzo wa mwaka huu.Ni kiongozi makamu wa kata hilo ndiye  atoa hesabu hizo akiwekeya mkazo kua ni vijana wenye umri kati ya miaka kumi na kenda na makumi tatu ndio wakua wahanga.Kujitupa ndani ya ziwa Kivu na kujitundika  ,ndizo njia watumikisha kwa kufikiya lengo zawo ahakikisha Toms KIRAKU ambaye anajibu kwa swali

Kuhusu  shida hiyo,mwanasaikologiya moja aalika wakaaji wa Goma kuwasogleya watu wenye kuwa katika magumu.Kwa masemi yake Vincent SEMU,kuna alama ambazo hazidanganye kwa kutambua kwamba mtu anamawazo ya kuijuwa.Anataja kwa mufano hali ya kujiweka mbali na jamii.

Mwisho wa makala yetu ,asante kwa uaminifu wenu kwa redio ya wakaaji wa kawaida.

 

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.