Magazine

Soumis par derick le mar 06/12/2022 - 19:28

SECURITE_RECATION SOCIV RECRU

Prezidenti wa shirika la rahiya la hapa mjini Goma ana tahzarisha ku husu tishio zinazo kumba mji mkuu wa Kivu ya kaskazini. Marrion Ngavho ana zungumzia kuto hudumiwa kwa vijana walio kubali ku ingiak aktika jeshi la taifa, na ambao wana lala, naku shinda barabarani kandokando na ofisi ya kata Les Volcans. Kada huyu wa shirika la rahiya ana hofia vijana hawa wawe na ukali ikiwa punde wanapo omba msaada huku na kule wa kutane na mkaaji asiye kua na chochote chaku wa patia. Marrion Ngavho ana alika serkali ya Congo ku chugua garama yao, pia ku harikisha operesheni yaku wa peleka katika kituo vhao cha mafunzo

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.