Société_Masisi
Kuliendeshwa na mazungumzo siku ya tano iliyopita kati ya ofisi kiufundi za serkali zenye kujihusisha na sekta ya madini humu jimboni na wakaaji wa Rubaya.Haya yalifanyika kupitiya kikao cha hazarani kilicho andaliwa na redio Pole Fm ikiungwa mkono na shirika Pain pour le monde na ilikua kwa pande zote mbili kuchambua vinyume na kuheshilishwa kwa haki za binadamu katika migodi ya kuchimbiya madini.
Audio
Ajouter un commentaire