Magazine_sw_lundi_11_04_2022

Soumis par derick le lun 11/04/2022 - 07:48

BENI MAMBANGO                                                                                                                       samedi 9 avril 2022

Raiya,askari na wanapolisi walisafisha shamba la wafu la MAMBANGO lenye kupatikana ndani ya kempi kuu la SHIKO siku ya sita iliyopita.Ni mahali hapo ndipo kwa lazwa zaidi ya ma mi aya askari waliofariki kunako shamba la mapambano maeneo za Beni.Shuguli hiyo iliandaliwa na shirika Pole Institute katika huwo mpango wa muradi wake dialogue pour la paix à Beni ilikua na lengo ya kusikilizisha wahuzuriyaji ni kwa kiwango gani aksari jeshi wajitoleya kwa kurejesha amani pa Beni.Siku Provinces aeleza mengi katika ripoti hiyi

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.