Mwalikwa

Soumis par derick le sam 27/08/2022 - 13:07
A

Société_Goma

Katibu mukuu wa muungano africa reconcilied asisimua zamiri za wahanga wa ukiaukaji wa hali ya juu wa haki za binadamu inchini DRC . PASCAL MUGARUKA awaalika kujikabizi muchakato wa haki ya mupito inayo kua ikitekelezwa siku hizi. Anahakikisha kua ni vema wajikabizi jambo lile lenye limehusisha serkali kume kua miaka miwili sasa. Katibu mukuu huyo aliya tamka wakati wa kazi za kikao cha kufikiria juu ya mikakati nyipya ya uhimizaji kuhusu haki ya mupito kilicho endeshwa mujini goma. kazi hizi za siku mbili ziliwakutanisha watu mbali mbali wenye kuendesha shhuguli katika secta hii. Anabainisha kua muchakato huo unaendelea salama tangu pale viongozi wa kongo  walip amua kukabizi swala hilo umuhimu.kwake pascal mugaruka chamuhimu nikuona wahanga kupewa kipau mbele iliwajihusishe katika swala hili.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.