Mualikwa wetu siku ya leo ni bwana DELIKO MBAMBU. Kiongozi huyu wa shirika CIDHOPPE jimboni Kivu kaskazini akua mwenye kuchambua hali ya usalama kwa namna ya hofu kulinagana na njama zinazo endeshwa na kundi za wapiganaji siku hizi mtaani Lubero.DELIKO MBAMBU ajibu kwa swali zake Augustin TSONGO
Tahadhari iliyotolewa alamisi na Ubalozi wa Marekani kuhusu hatari ya shambulio la kigaidi kwenye meli isio julikana yenye kutoka GOMA inaibua matamshi mengi. Wakati shirika la kiraia jimboni yatoa wito kwa vikosi vya usalama kuchukua tahadhari hii kwa uzito, shirika lisilo la faida linalo ihusisha na maswala ya kucgunguza mabaki ya bomu ama vyombo ya vita linaonya wakaaji juu ya hatari ya kuokota na kushika vitu visivyojulikana.
Nous recevons Aubin MONGILI ; il est le coordonnateur du Programme national multisectoriel de lutte contre le VIH/SIDA. Celui-ci appelle à l’aide en faveur des orphelins du SIDA. Aubin MONGILI a fait savoir que le Nord-Kivu compte plus seize mille orphelins du VIH dont 3 pourcents se trouvent dans la rue. Il l’a dit samedi à l’occasion de la journée dédiée à cette catégorie d’orphelins.
Karibu kufwata mwalikwa wa chumba cha uhariri cha redio pole FM. Siku ya leo tuna mpokeya Prince KIHANGI, ni mchaguliwa wa mtaa wa WALIKAE. Huyu ana ongeya Siku moja baada ya mapambano yaliyo endashwa pa BRAZA. Haya mapambano yali endeshwa na kikundi MAC.
A présent notre invité de la rédaction, nous recevons Prince KIHANGI ; un élu du territoire de WALIKALE. Il intervient au lendemain de l’attaque armée qui a eu lieu à BRAZA dans le groupement WALOA UROBA, une œuvre du mouvement d’Action pour le changement « MAC ». Ce député salue la prouesse avec laquelle les éléments de la police ont fait face aux rebelles, les empêchant d’entrer à NTOTO.