INVITE

Soumis par derick le sam 24/09/2022 - 18:37
signe

SOCIAL/GOMA

« Bâtir une communauté inclusive pour tous », hiyo ndio mada iliyo chaguliwa mwaka huu kwa kusherekeya sikukuu duniyani kwa ajili ya viziwi kila tarehe 24 septemba .Wale wanaoshugulikiya watu hawo kielimu humu jimboni walichukua fursa hiyo kwa kuomba luga ya alama mbali mbali kukubaliwa kama luga nyingine .Ni kama kiongozi wa shule la msingi NEEMA pa Goma anaye sema kwamba watu kama hawa  wawekwa kando ndani ya jamii.Kwake Merciane YALALA,hata kama kwa sasa viziwi  wakua nanafasi ambapo waweza pewa mafunzo ,kuna shida nyingi zinazo ambatana na jinsi waweza kuingizwa katika ulimwengu wa wafanya kazi.Muhisika huyu na elimu yawo asisitiza kwamba kungali mambo mengi ya kufanya kwa kusaidiya ili viziwi wakubaliwe kikamilifu ndani ya jamii.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.