Goma : Kupangwa vibaya kwa chembechembe hairaisishi njiya kwa gari ya kuzima moto ?

Soumis par dominique le ven 15/01/2021 - 11:10

« Kupangwa vibaya kwa chembechembe mjini Goma ni moja wapo ya yale yenye kusababisha hali ya kuchelewa kwa gari ya kuzima moto toka shirika la hifazi la raiya muda wanaharifiwa kwamba kuna ajali inayojitukiza  »alisema kiongozi jimboni wa shirika hilo.Joseph MAKUNDI ashutumu ujenzi wa nyumba zimoja kunako mabarabara zimoja za mji na ni jambo lenye kusumbua zaidi wakati shirika hilo laitwa kwa kuleta musaada.Anashutumu pia kuona ofis yake inakua na shida ya vifaa vya lazima kwa kutenda kazi na kuhakikisha kua shirika la hifazi lakua na gari moja pekee yake kwa mji wa Goma.Anaalika serkali ya jimbo na mtu yeyote ule wa moyo mwema  kuwajiya msaada na vifaa ambavyo wanahitaji.
Joseph Makundi ndiye mualikwa wetu wa siku

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.