magazine_sw

Soumis par derick le sam 16/03/2024 - 16:41

SOCIAL_GOMA 
Wakaaji wamoja wa kata zinazo patikana magharibi mwa mji wa Goma wana sema wanatatizika kupata nafisi yakuzikiya wafu. Mwanamke mmoja anashuhudia kwamba alimzika mtoto wake kwa siri kwenye jalala. Kulingana naye, hakuna kada wa ngazi za chini aliye mjiya kwa msaada ndio maana alichukua uamuzi huu. Anashuhudia kwamba yeye si mtu wa kwanza kufanya hivi. 
Kiongozi wa kata Lac Vert analaani kitendo hiki na kuhamakiya tabia hii. DEDESI MITIMA anasema anashangaa kusikia ya kwamba vitendo hivyo vinafanyika katika eneo lake. Anajulisha kuwa huduma ya protection civile  inashurulika na mazishi ya  maiti ambao familia zao ni masikini. Huyu, anahimiza wakaaji kuonyesha upendo kwa familia zilizo katika shida ili wazike na heshima wapendwa wao kuliko. 

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.