invité_SW

Soumis par derick le sam 30/03/2024 - 17:53

Economie_Goma
Ijumaa, yaani siku ya tano wiki hii, wafanya biashara wamoja wamja wa hapa Goma wali simamisha mgomo ambao walikua waki endesha tokea siku ya tatu. Walikua waki shutumu ku lipishwa kodi itwayo ‘’TVA’’ kwa wamoja kati yao ambao bado biashara yao haiya fikia samani ya millioni makumi kenda ya franka za ki kongomani. Prezidenti wa muungano wa wenyeji duka aina ‘’boutique’’ mjini Goma ana alika wenziye ku fungua milango yao naku rudilia shuruli za uchuruzi, waku ngoja matokeo ya mazungumuzo ambayo yata endeshwa siku ya kwanza kati ya wajumbe wao, shirika DGI, pia liwali wa jimbo. Kwake Kembo Amunasi, hakuna kingine chaku tegemea, isipo kua yale yatakayo jiri toka mazungumuzo hayo kwani sherti ya lete suluhisho kwa ma dai ya pande zote.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.