invité_SW

Soumis par derick le ven 05/04/2024 - 18:05

SOCIAL/GOMA 

Shirika ‘’ Union pour le Progrès et la Lutte contre les Antivaleurs’’  ya shutumu jambo inayo tajwa kua ukorofi unao endeshwa katika soko kuu ya Kituku. Katiba baruha iliyo andikwa kwa meya wa Goma tarehe 5 April, shirika hiyo ya zungumzia  ushuru fulani fulani  ambao una tozwa kwa wachuruzi ila hakuna mtu anaye fahamu wazi za elekea pesa z ushuru huo. Prezidenti wa shirika hili ana taja kwa mfano ushuru wa franka za kongo mia tano zinazo lipishwa kila siku kwa kila mtu anaye endesha uchuruzi ndani ya soko hiyo, pia ushuru mwengine wa franka za kongo mia mbili ambazo za tozwa ka wavuvi punde wanapo ondoka baharini.  NYAGASANI MANEGABE Emmanuel ana zani kwamba huu sio muda waku nyanyasa wachuruzi wa Kituku kwani ni ku pitia bandari ya soko hiyo ndipo Goma ya pata siku hizi chakula, tokea ku fungwa kwa barabara nyingine ambazo luji huu ulikua uki tumia ili ku lisha wakaaji wake.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.