invité_SW

Soumis par derick le lun 08/04/2024 - 18:36

Sécurité/Masisi
Prezidenti wa muungano wa shirika za ki rahiya katika mkowa wa Buzi ana toa nje usumbufu unao endeshwa zidi ya rahiya, na kundi za wapiganaji wa nyumbani wanao sema kua ni ‘’Wazalendo’’ katika vijiji kazaa vya sehemu hii ya mtaa wa Kalehe tokea sasa miezi mi wili. James Musanganya ana fasiria kwamba tokea mwezi wa kumi na mbili ulio pita, wapiganaji wengi, mkiwemo hao wa kundi Nyatura, wali wasili kwa uwingi katika jiji ya Minova , na hapo wana zusha wasiwasi miongoni mwa rahiya. Ana taja vitendo vya uk’iukukaji wa haki za binaadam ambavyo wana endesha, kama vile mauwaji, ku fyatua risasi kiyolela, na kazalika. James Musanganya ana pendekeza kwa viongozi wa ki jeshi ku amuru wapiganaji hawa wote kwenda kuji kusanya pa Bweremana ambapo ndio karibu na ngome za jeshi la taifa, kuliko ku baki Minona ambapo kuna usalama.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.