invité_SW

Soumis par derick le sam 13/04/2024 - 17:21

 SECURITE A GOMA

Uwepo wa maaskari wengi mjini, kuto shurulika na garama ya wanajeshi wapya na wapiganaji wazalendo ni miongoni mwa mambo yanayo sababisha ujambazi mjini Goma. Mtazamo huu ni wa mratibu wa shirika Réseau Communautaire Nouvelle Vision Club. Lazare MUYANGO Radjab anafikiri kwamba watu kadhaa wenye kuvaa sare wana daiwa kuwa chanzo cha ukosefu wa usalama pa Goma siku hizi kwa sababu hawafuatiliwe kwa karibu na hawa pewe garama ipasavyo na serkali ya Kongo. Mtetezi huyu wa haki za binadamu anaalika viongozi wa kijeshi kurejesha usalama mjini Goma waki husisha raia katika juhudi zao.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.