invité_SW

Soumis par derick le lun 15/04/2024 - 09:48

Sécurité/Ituri
Walewale magaidi wa ADF wali wauwa pia raiya wasita, miongoni mwao ni watu wa kubwa wa tano na mtoto mchnga mmoja kijijini NDALYA katika usultani wa WALESE VOKUNTU mtaani IRUMU katika jimbo la ITURI siku ya sita ilio pita. Coordonata wa shirikisho linalo husika na haki za binaadamu eneoni humo ametangaza kwamba jeshi la FARDC la pahali lilipo pata habari lili faulu ku mshika jambazi mmoja na likasaidia kwa kuacha huru raiya wawili wasio na hatiya walio kuwa wame tekwa nyara. Christophe MUNYADERU aongeza kwamba wahanga hawa wote waliokuwa wameshikwa na ADF walikuwa wame shurtishwa nao kuwa onesha njia ya kuelekeya center ya NDALYA ambapo walitarajiya ku haribu maisha ya watu wengi. 

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.